RAIS DKT. MWINYI AWASILI NCHINI BURUNDI KUSHIRIKI MIAKA 60 YA JAMHURI YA BURUNDI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amewasili Nchini Burundi kwa ajili ya kushiriki Sherehe za miaka 60 ya Jamhuri ya Burundi zitakazofanyika kesho 01 Julai nchini humo.  Rais Dk. Mwinyi akiwa ameambatana na Mkewe Mama Mariam Mwinyi,Mawaziri wa SMT na SMZ na Viongozi wa Taasisi mbalimbali,katika Uwanja wa